[caption id="attachment_3539" align="aligncenter" width="750"] Mwanasayansi Samweli Mduma akipima kiasi cha damu ambacho ni mililita 450 iliyotolewa leo na Frank Mapunda katika kituo cha kuchangia damu cha Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) ikiwa ni maadhimisho ya siku ya kuchangia damu Dunia ambayo kaulimbiu yake ni Changia damu, Changia sasa, Changia mara kwa mara.(Picha na: JKCI)[/caption]
Na Jacquiline Mrisho
Wananchi waliojichora alama mbalimbali katika miili yao (Tatoo) wametakiwa kuchangia damu kama watu wengine kwani hakuna uhusian...
Read More