[caption id="attachment_53107" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akizungumza na Waandishi wa Habari katika uwanja wa Nyamagana uliopo mkoani Mwanza[/caption]
Na Kelvin Kanje - Mwanza
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi, amewataka watakaoshindwa kufuata muongozo wa afya michezoni wachukuliwe hatua kali.
Dkt. Abbasi ametoa agizo hilo jana katika uwanja wa CCM Kirum...
Read More