[caption id="attachment_32056" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akioneshwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa, Makame Mbarawa mashine 10 za kufyatua matofali alizokabidhiwa na Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi kabla ya kufungua semina ya Bodi hiyo kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Mei 18, 2018. Mashine hizo zitagawiwa bure kwa vikundi vinavyojishugulisha na ufyatuaji matofali. Watatu kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Binilith Mahenge na wanne kuil ni Katibu Mkuu w...
Read More