[caption id="attachment_52734" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Viongozi wa Dini ya Kiislam, Mkoa wa Dodoma, wakati akiwasili katika Msikiti wa Gaddafi, Jijini Dodoma, kuhudhuria Sala ya Eid el Fitri, Mei 24, 2020. [/caption]
Rais Dkt. John Pombe Magufuli amewapongeza waislam wote nchini kwa kumaliza mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani na anawashukuru kwa namna walivyoshiriki kuliombea Taifa hasa katika kipindi hiki cha kukabilia na ugonjwa wa COVID-19.
Hayo yamesemwa leo na Waziri M...
Read More