Na Frank Mvungi
Serikali imesema ipo tayari kulipa deni la mikopo inayodaiwa na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii mara tu baada ya Kanuni za kuunganisha mifuko ya Hifadhi za Jamii kupelekwa kwa wadau ili kupata maoni yao na hatimaye zianze kutumika.
Akizungumza Bungeni Mjini Dodoma, Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji wakati akijibu swali la Mbunge wa Tumbe Mhesimiwa Rashid Ali Abdallah aliyetaka kujua ni lini Serikali itarejesha mikopo kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii.
“Mwaka 2016, Serikali ilifanya uhakiki wa deni la Mifuko ya...
Read More