Na: Frank Mvungi - MAELEZO, Dodoma
Serikali imesema kuwa Bilioni 59.2 zimekopeshwa na Taasisi za Fedha kwa wananchi kupitia hati za kimila katika maeneo mbalimbali hapa nchini.
Akijibu swali la Mheshimiwa Venance Mwamoto mbunge wa Kilolo (CCM) leo Bungeni, Jijini Dodoma, Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Anjelina Mabula amesema kuwa wananchi wameweza kutumia hati za kimila kujipatia mikopo kutoka Benki mbalimbali ikiwemo NMB PLC, CRDB PLC, Stanbic Bank, SIDO na PSPF.
"Natoa rai kwa wananchi wote kutoa ushirikiano...
Read More