Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (wa Tatu kulia) akipata maelezo Kutoka wa Mkurugenzi wa Idara ya Habari - MAELEZO, Gerson Msigwa (aliyeshika kitambulisho) kuhusu utoaji vitambulisho vya Waandishi wa Habari wakati wa kutembelea na kukagua mabanda katika Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Gran Melia ambako maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yanafanyika kilele cha maadhimisho hayo ni Mei 3, 2022 na Mgeni Rasmi atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, wa...
Read More