[caption id="attachment_42955" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Isdor Mpango akisisitiza jambo wakati wa kuagana na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Watoto (UNICEF) Bi. Maniza Zaman (hayupo pichani), anayehamia nchini Kenya, alipoenda kumuaga Waziri wa Fedha na Mipango ofisini kwake, Jijini Dodoma.[/caption]
Na Josephine Majura, WFM, Dodoma
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango amelishauri Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Watoto (UNICEF...
Read More