[caption id="attachment_30532" align="aligncenter" width="896"] Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri akisisitiza jambo wakati akifungua kongamano la siku moja la wadau wa afya lilokuwa likiwaelimisha juu ya maandalizi ya chanjo ya kuwakinga wasichana na saratani ya shingo ya kizazi jana mjini Tabora. Kwa mkoa huo, chanjo hiyo itazinduliwa tarehe 23 Mwezi huu.[/caption]
Na Tiganya Vincent - RS TABORA
Zaidi ya wasichana 32,000 wenye umri wa miaka 14 wanatarajiwa kupata chanjo ya kinga ya saratani ya mlango wa kizazi mkoani Tabora kuanzia wiki...
Read More