Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa Katika picha ya pamoja na Mawaziri, Manaibu Mawaziri, Makatibu Wakuu, Wakurugenzi, Wakuu wa Taasisi na Idara wa Ofisi ya Waziri Mkuu mara baada ya kuhitimisha hoja ya bajeti Ofisi ya Waziri Mkuu, taasisi zake, na Mfuko wa Bunge kwa mwaka 2024/2025 bungeni jijini Dodoma, Aprili 15, 2024.
Read More