NIMERIDHISHWA NA MAANDALIZI YA SHEREHE ZA MUUNGANO - MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na maandalizi ya sherehe za miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yanayoendelea katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.
Ameyasema hayo leo (Jumanne, Aprili 24, 2018) mara baada ya kukagua maandalizi hayo yanayofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma, ambapo amesema maandalizi yanaendelea vizuri.
Waziri Mkuu amejionea maonesho mbalimbali yakiwemo ya kikundi cha halaiki ambacho kinaundwa na wanafunzi 2,000 kutoka Manisp...
Read More