Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe.Prof. Joyce Ndalichako akizungumza na vyomba vya habari katika mkutano unaohusiana na kuelekea kilele cha maadhimisho ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi, uliofanyika tarehe 27 Aprili, 2022 katika ukumbi OSHA wa Jijini Dodoma.
Na Mwandishi Wetu
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amezungumza na vyombo vya habari kuelekea siku ya kilele cha maadhimisho ya usalama na afya mahala pa kazi na kusema k...
Read More