[caption id="attachment_41718" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Doto Biteko akitoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali kwa Michael Gur Arie, Mkurugenzi wa Biashara na Uendelezaji wa Masoko wa Kampuni ya MAGUL Security System wa kwanza kushoto kwa Waziri alie ambatana na Idan Segev wa kwanza kulia walipo mtembelea ofisini kwake Jijini Dodoma kwa mazungumzo.[/caption]
Na Issa Mtuwa, Dodoma
Waziri wa Madini Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo kwa nyakati tofauti na makundi mbalimbali ya wadau wa madini Aprili 3, 2019, Ofisini kwake...
Read More