[caption id="attachment_30142" align="aligncenter" width="750"] Kamishna wa Nishati, Mhandisi Innocent Luoga (kulia) akisalimiana na mmoja wa watendaji wa kampuni ya Mantrac, Matiko Bugumia (kushoto) mara baada ya kuwasili kwenye ofisi za kampuni hiyo zilizopo jijini Dar es Salaam.[/caption]
Na Greyson Mwase.
Kamishna wa Nishati, Mhandisi Innocent Luoga amefanya ziara katika kampuni ya Mantrac iliyopo jijini Dar es Salaam ambapo aliambatana na wataalam kutoka Wizara ya Nishati na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO).
Lengo la ziara yake lilik...
Read More