[caption id="attachment_41878" align="aligncenter" width="1008"] Bi Amina Yasin, Afisa Udhibiti Ubora Mwandamizi wa TBS akizungumza na wananchi wa soko kuu la Ifakara, wilayani Kilombero, juu ya umuhimu wa kununua bidhaa zilizothibitishwa ubora wake na TBS.[/caption]
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limemaliza Kampeni yake ya kutoa Elimu kwa umma katika Wilaya ya Nachingwea, Kilwa, Songea, Bukoba, Kahama,Tarime, Nyamagana, Korogwe, Kilombero na Kisarawe juu ya umuhimu wa kununua bidhaa zilizothibitishwa na shirika hilo.
Kampeni hiy...
Read More