Na Beatrice Lyimo-MAELEZO, Dodoma
Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) umetekeleza majukumu yake kwa ufanisi na kupata mafanikio ya kusajili waajiri 13,500 na kulipa fidia kiasi cha shilingi bilioni 2.52 hadi kufikia tarehe 28 Februari 2018.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na wenye ulemavu Jenista Mhagama kwenye mkutano baina ya waajiri walio wanachama wa chama cha waajiri (ATE) na taasisi ya sekta binafsi tanzania (TPSF) kanda ya kati pamoja na watendaji wa serikali na WCF.
“Katika ku...
Read More