[caption id="attachment_51587" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani (mwenye miwani-katikati), akisikiliza maelezo kuhusu uzalishaji nyaya za umeme kutoka kwa mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya Europe Inc. Industries LTD (TROPICAL), Charles Mlawa, alipotembelea kiwanda hicho kinachozalisha mashine umba (transfoma) na nyaya za umeme, Machi 12, 2020.[/caption]
Veronica Simba – Dar es Salaam
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani amesisitiza msimamo wa serikali kutoruhusu uagizwaji nje ya nchi, vifaa vya umeme hu...
Read More