Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Machi, 28, 2022 amerejea nchini akitoka Aqaba nchini Jordan alikomwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa kujadili usalama katika eneo la Kusini Mashariki mwa Afrika hususan nchini Msumbiji na maeneo ya jirani (Aqaba Process). Pichani, Mhe. Majaliwa na mkewe, Mama Mary Majaliwa (kushoto) wakisalimiana na viongozi wakati walipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam. Kulia kwa Waziri Mkuu ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo....
Read More