[caption id="attachment_51808" align="aligncenter" width="750"] Mkurugenzi Idara ya Uratibu wa shughuli za Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Kanali Jimmy Matamwe akimkabidhi Mkuu wa wilaya ya Rufiji, Mhe. Juma Njwayo, misaada, ikiwa ni magodoro, mikeka, sabuni, vyandarua na ndoo, kwa ajili ya waathirka wa maafa ya mafuriko wilayani humo, tarehe 23 Machi, 2020.[/caption]
Kufuatia miundombinu ya barabara, shule na zahanati kuathirika kutokana na maafa ya mafuriko wilayani Rufiji. Kamati za Usimamizi wa maafa za wilaya hiyo zimeshauriwa kuchukua hatua...
Read More