Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Machi, 2019 amemuapisha Mhe. Valentino Mlowola kuwa Balozi wa kwanza wa Tanzania nchini Cuba.
Hafla ya kuapishwa kwa Mhe. Balozi Mlowola imefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Balozi John Kijazi, Mawaziri, Makatibu Wakuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Prof. Adelardus Kilangi, Vio...
Read More