[caption id="attachment_40576" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa, Meja Jenerali , Martin Busungu wakati alipowasili kwenye Kambi ya JKT ya Bulombora wilayani Uvinza, kuhamasisha ufufuaji wa zao la michikichi, Februari 17, 2019. Wapili kulia ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein Mwinyi.[/caption]
[caption id="attachment_40577" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary (kushoto) wakitazama sabuni zinazotengen...
Read More