[caption id="attachment_40576" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa, Meja Jenerali , Martin Busungu wakati alipowasili kwenye Kambi ya JKT ya Bulombora wilayani Uvinza, kuhamasisha ufufuaji wa zao la michikichi, Februari 17, 2019. Wapili kulia ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein Mwinyi.[/caption] [caption id="attachment_40577" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary (kushoto) wakitazama sabuni zinazotengenezwa na Askari wa Jeshi la Kujenga Taifa katika Kambi ya Bulombora wilayani Uvinza wakati alipotembelea kambi hiyo kuhamasisha ufufuaji wa zao la michikichi, Februari 17, 2019.[/caption] [caption id="attachment_40578" align="aligncenter" width="1000"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasha trekta ikiwa ni ishara ya kuzindua trekta hilo katika Kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa ya Bulombora wilayani Uvinza, Februri 17, 2019. Mheshimiwa Majaliwa yuko mkoani Kigoma kwa ziara yenye lengo la kuhamasisha ufufuaji wa zao la michikichi.[/caption]