Kaimu Meneja wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Moses Urio, akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi),Mhandisi Godfrey Kasekenya, wakati alipokagua maendeleo yaliyofikiwa ya ujenzi wa jengo la Mama na Mtoto katika Hospital ya Rufaa ya Mkoa - Sekou Toure linalotekelezwa na Wakala huo, mkoani humo.
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, (Sekta ya Ujenzi), Mhandisi Godfrey Kasekenya, ameiagiza Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), kukamilisha kazi za ujenzi wa jengo la mama na mtoto na...
Read More