[caption id="attachment_40896" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu (kulia) akikabidhi Jenereta katika Kituo cha Afya Nkowe, Kata ya Nkowe, wilayani Ruangwa, Mkoa wa Lindi akiwa katika ziara ya kazi, Februari 26, mwaka huu.[/caption]
Na Veronica Simba – Ruangwa
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amewataka wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini kuweka magenge yenye vifaa vya kazi katika kila wilaya nchi nzima ili kuboresha utendaji kazi wao.
Alitoa maagizo hayo kwa nyakati tofauti jana, Februar...
Read More