[caption id="attachment_40304" align="aligncenter" width="900"] Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt Hamis Kigwangala akijibu hoja za wabunge wakati akihitimisha hoja ya azimio la Bunge kupandisha hadhi mapori ya akiba ya Biharamulo, Burigi, Kimisi, Ibanda na Rumanyika –Orugundu kuwa Hifadhi za Taifa leo Bungeni Jijini Dodoma.[/caption]
Na, Adelina Johnbosco, MAELEZO, Dodoma.
Wabunge wameridhia kupandisha hadhi mapori ya akiba ya Biharamulo, Burigi, Kimisi, Ibanda, na Rumanyika – Orugundu kuwa hifadhi za Taifa ambayo yatakuwa chini ya usimamizi...
Read More