Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato akipata maelezo kutoka kwa Msimamizi wa Kituo cha Kusambaza Umeme cha Mbagala, Mhandisi Neema Ngogo, wakati wa ziara ya kutembelea kituo hicho Jijini DSM Desemba 16, 2021.
Msimamizi wa Kituo cha Kusambaza Umeme cha Mbagala, Mhandisi Neema Ngogo (wa pili kulia) , akimuonyesha Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato (wa pili kushoto) namna ambavyo umeme unapokelewa, kupozwa na kusambazwa kituoni hapo, wakati wa ziara ya kutembelea kituo hicho Jijini Dar es salaam, Desemba 16, 2021....
Read More