[caption id="attachment_23311" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Dkt. Harrison Mwakyembe (wa tatu kushoto) akishangilia ufunguzi wa mashindano ya Shirikisho la Michezo la Mashirika ya Umma, Taasisi na Makampuni Binafsi Tanzania (SHIMMUTA) jana mjini Iringa.[/caption]
Na: Lorietha Laurence-WHUSM,Iringa.
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Dkt. Harrison Mwakyembe ameshukuru ushirikiano unaonyeshwa na Taasisi na Mashirika ya Umma kwa kuunga mkono dhamira ya Serikali ya Awamu ya Tano kati...
Read More