[caption id="attachment_49162" align="aligncenter" width="750"] Kamishna Mkuu wa Uhifadhi (TANAPA) Dkt. Allan Kijazi, Akizungumza na Waandishi wa Habari( hawapo pichani), Kuhusu mafanikio ya TANAPA kwenye miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Tano, Mkutano ulifanyika katika Ukumbi wa Idara ya Habari-MAELEZO, Jijini Dar es Salaam.[/caption]
Na.Paschal Dotto
Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), limesema limejizatiti katika kutekeleza sera ya Serikali ya Awamu ya Tano, ambapo kwa Miaka minne sasa tangu Serikali ya Dkt.John Pombe Maguful...
Read More