[caption id="attachment_23543" align="aligncenter" width="640"] Naibu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Taalum, Prof. Ganka Nyamsogoro, akizungumza na waandishi wa habari juu ya mahafali ya 16 ya Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi Kuu Morogoro Novemba 30, 2017, Chuo cha Kampasi ya Mbeya Desemba 8 na Chuo cha Kampasi ya Dar es Salaam Desemba 22. Ambapo jumla ya wahitimu 3,461 wanatarajiwa kutunukiwa shahada, stashahada na astashahada mbalimbali.Kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano Mzumbe, Rainfrida Ngatunga.[/caption]
[caption id="" align="aligncenter" wid...
Read More