[caption id="attachment_22005" align="aligncenter" width="800"] Mweyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akisoma dua ya kuiombea nchi na Bunge wakati wa kikao cha pili cha Mkutano wa tisa wa Bunge leo Mjini Dodoma.[/caption]
[caption id="attachment_22006" align="aligncenter" width="800"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Wenye ulemavu akiwasilisha Taarifa ya Mwaka ya Chuo kikuu cha Dodoma kwa mwaka 2015/2016 kwa niaba ya Waziri wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia wakati wa kikao cha...
Read More