[caption id="attachment_22390" align="alignnone" width="750"] Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa EWlimu ya Juu (HESLB) Abdul Badru akisisitiza jambo (Picha na Maktaba)[/caption]
Yafungua Dirisha La Rufaa Hadi Novemba 19
Na: Mwandishi Wetu
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza orodha nyingine yenye wanafunzi 1,775 wa Mwaka wa Kwanza waliofanikiwa kupata mikopo na hivyo kufanya jumla ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo hadi sasa kufikia 31,353.
Katika Awamu ya Kwanza, wanafunz...
Read More