[caption id="" align="aligncenter" width="800"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Ajira, Kazi, Vijana na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akitoa ufafanuzi wa masuala ya Ukimwi kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge inayoshughulikia masuala ya UKIMWI na Madawa ya Kulevya wakati wa warsha ya wajumbe wa kamati hiyo iliyofanyika Bungeni Dodoma Novemba 14, 2017.[/caption]
[caption id="" align="aligncenter" width="800"] Mkurugenzi wa Utafiti na Tathimini Tume ya Taifa ya kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) Dkt. Jerome Kamwela akiw...
Read More