JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO
TAMKO LA MHE. UMMY MWALIMU, WAZIRI WA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO KUHUSU WIKI YA KUZUIA USUGU WA VIMELEA DHIDI YA DAWA ZA ANTIBIOTIKI
TAREHE 13- 19 NOVEMBA, 2017
Wiki hii Dunia inaadhimisha wiki ya kupambana na Tatizo la Usugu wa Vimelea kwa Dawa za Antibiotiki (Antibiotics Resistance Awareness Week). Kauli mbiu ya mwaka huu wa wiki ya uhamasishaji kuhusu antibiotiki duniani unasema: “Fuata ushauri wa wataalam wa afya k...
Read More