[caption id="attachment_37864" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwahutubia wabunge na wananchi waliyohudhuria kwenye uzunduzi wa Mkakati wa Bunge wa Masuala ya Jinsia, katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni jijini Dodoma Novemba 7, 2018.[/caption]
[caption id="attachment_37865" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizindua Mkakati wa Bunge wa Masuala ya Jinsia, katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni jijini Dodoma Novemba 7, 2018, kutoka kushoto ni Mwakilishi wa UNDP Godfrey Mulisa, Spi...
Read More