Waziri Mkuu Aongoza Maombolezo ya Kifo cha Katibu Mkuu wa CWT
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisaini kitabu cha maombolezo alipo hudhuria msiba kwa aliyekua Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Marehemu, Alhaji Yahya Msulwa, leo Novemba 18, 2017 nyumbani kwa marehemu Toangoma, jijini Dar es salaam. Aliye simama kwa kwa Waziri Mkuu ni Mke wake Mama Mary Majaliwa.
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameungana na wanafamilia, Viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) katika kuomboleza kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wa CWT, Bw. Yahya Msulwa...
Read More