Mkurugenzi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW), Dkt. Michael Ng'umbi akizungumza wakati wa mkutano na Waandishi wa Habari leo Oktoba 24, 2022 jijini Dodoma kueleza mafanikio, utekelezaji na vipaumbele vya Taasisi hiyo.
Na Mwandishi Wetu - Dodoma
Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) katika mwaka 2021/2022, imesajili jumla ya wanafunzi 3,426 katika programu tatu zilizopo katika Taasisi hiyo.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa TEWW, Dkt. Michael Ng'umbi wakati wa mkutano na Waandishi wa Habari leo Oktoba 24, 2022 jijini Dodoma kuele...
Read More