[caption id="attachment_37497" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na wajumbe wa shirika Kazi Duniani (ILO) na watendaji wakuu wa Idara na Vitengo kutoka Ofisi yake walipokutana kujadili kuhusu programu za shirika hilo hii leo Oktoba 27, 2018 Bungeni Jijini Dodoma.[/caption]
Na: Mwandishi Wetu
Serikali kuendeleza ushirikiano na Shirika la Kazi Duniani (ILO) katika kuendeleza programu na mipango mbalimbali hususan kwenye masua...
Read More