Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angeline Mabula akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Kijiji cha Mpanga wilayani Wanging’ombe wakati Kamati ya Mawaziri Nane wa Wizara za Kisekta ilipotembelea kijiji hicho mkoani Njombe Oktoba 27, 2022'
Na Munir Shemweta, WANMM NJOMBE
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angeline Mabula ametaka maeneo yanayomegwa kwa ajili ya kupatiwa wananchi waliovamia hifadhi yapangiwe mpango wa matumizi ya ardhi na kutolewa hati kwa wamiliki wake.
Dkt. mabula alit...
Read More