[caption id="attachment_36081" align="aligncenter" width="900"] Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akisalimiana na baadhi ya watendaji alipowasili katika kiwanda cha sukari cha Mkulazi (Mbigili), Mkoani Morogoro kukagua na kujionea maendeleo ya mradi wa ujenzi wa kiwanda hicho.[/caption]
Na: Mwandishi wetu
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) ametembelea Mradi wa Ujenzi wa Kiwanda cha suka...
Read More