[caption id="attachment_36573" align="aligncenter" width="900"] Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani (kushoto), akifafanua jambo kwa Mwekezaji kutoka Kampuni ya Jos’Hansen ya Ujerumani, Michael Kabourek (kulia), aliyemtembelea Waziri ofisini kwake jijini Dodoma, Oktoba 9, 2018 kwa ajili ya majadiliano kuhusu uwekezaji katika sekta ya umeme nchini. Katikati ni Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Hassani Mwamweta.[/caption]
Na Veronica Simba – Dodoma
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amesema kwamba, kwa...
Read More