Kamishna wa Sera wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Elijah Mwandumbya, akisisitiza wadau wa ukusanyaji wa mapato yasiyo ya kodi kuongeza jitihada zaidi za ukusanyaji wakati wa Semina ya taratibu za ukusanyaji wa mapato hayo, jijini Dodoma.
Na. Haika Mamuya na Eva Ngowi, WFM, Dodoma
Serikali imezitaka Wizara, Idara zinazojitegemea na Taasisi za Serikali zinazokusanya mapato yasiyo ya kodi, kuongeza juhudi katika ukusanyaji wa mapato ili kufikia malengo ambayo Serikali imejiwekea kwa mwaka wa fedha 2022/2023.
Rai hiyo imetolewa jijini...
Read More