[caption id="attachment_36622" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa Kibakwe wilayani Mpwampwa, akiwa kwenye ziara mkoani Dodoma, Oktoba 10, 2018.[/caption]
WAZIRI MKUU Kassim ametoa siku 10 kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mpwapwa, Bw. Peter Swea awe ametoa fedha za mikopo kwa ajili ya vijana, wanawake na walemavu.
"Leo ni tarahe 10 nataka hadi ikifika tarehe 20 ya mwezi huu uwe umeshatoa fedha za mikopo kwa wanawake, vijana na walemavu. Habari za mpaka kikao kiridhie hayo ni mambo y...
Read More