Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto) akizungumza na Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), Filippo Grandi katika ukumbi wa Mikutano wa Umoja wa Mataifa katika Kikao cha 73 cha Kamati Tendaji ya Shirika hilo jijini Geneva, nchini Uswisi, leo Oktoba 12, 2022.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (Wapili kulia) akimsikiliza Msaidizi wa Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), Gillian Triggs, akizungumzia masuala ya Wakimb...
Read More