[caption id="attachment_36777" align="aligncenter" width="750"] Naibu waziri wa Nishati, Subira Mgalu akizungumza na wanakijiji wa kijiji cha Buha,wilayani Mbulu mkoani Manyara, alipofanya ziara ya kukagua utekelezaji wa mradi wa kusambaza umeme vijijini REA na kuwasha umeme katika baadhi ya kaya za vijiji vya wilaya hiyo.[/caption]
Na: Zuena Msuya, Manyara.
Serikali imelika Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kuweka bei elekezi kwa wakandarasi,wahandisi na mafundi waliowaidhinisha kuwatandazia nyaya wananchi walio vijijini ili kuepusha matap...
Read More