[caption id="attachment_36904" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) akizungumza na wadau kutoka kwenye Wizara, Idara na Taasisi za Serikali wakati wa ufunguzi wa warsha ya majadiliano na kupitia mwongozo wa kitaifa wa ushiriki wa wananchi katika uwekezaji hii leo Oktoba 16, 2018 Jijini Dodoma.[/caption]
Frank Mvungi- MAELEZO, Dodoma
Serikali imewataka wananchi kutumia fursa ya uwekezaji mkubwa unaofanyika hapa nchini katika kuji...
Read More