Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi Nyegezi jijini Mwanza akiwa katika ziara ya siku tatu mkoani humo, Oktoba 17, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi wa mradi wa ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi Nyegezi jijini Mwanza, Mhandisi Henry Joseph (kushoto) wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi wa mradi huo jijini, Oktoba 17, 2022.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitazama michoro ya jengo la Stendi Kuu ya Mabasi Nyegezi jijini Mwanza, Ok...
Read More