Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akizungumza wakati akifungua kikao cha Baraza Mkuu la Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) kilichofanyika ukumbi wa Mkutano Royal Hoteli Jijini Dodoma tarehe 14 Januari, 2021.
Na: Mwandishi Wetu – Dodoma
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama ametoa maagizo kwa Taasisi na Halmashauri zisizo na mabaraza...
Read More