Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Meneja wa RUWASA Wilaya ya Mbulu, Onesmo Mwakasege ambaye alitoa maelezo kuhusu mradi wa maji wa Maghang Juu wilayani Mbulu kabla ya kuzindua mradi huo, Januari 24, 2022. Wa tatu kushoto ni Waziri wa Maji, Juma Aweso na wa pili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Makongoro Nyerere
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua mradi wa maji wa Maghang Juu wilayani Mbulu akiwa katika ziara ya Mkoa wa Manyara, Januari 24, 2022. Kushoto ni Waziri wa Maji, Juma Aweso, kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Makongo...
Read More