[caption id="attachment_27429" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wenza wa askari magereza wa gereza la Tabora Moja baada ya kukagua mradi wa ufugaji ng'ombe wa nyama na maziwa katika gereza hilo na kuzungumza na askari Januari 18, 2018.[/caption]
[caption id="attachment_27430" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia mkono wananchi wakati alipowasili kwenye uwanja wa Mbuzi katika mji mdogo wa Mugumu kuhutubia mkutano wa hadhara Januari 18, 2018.Kushoto ni Mkuu w...
Read More