[caption id="attachment_36461" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Biharamulo (hawapo pichani) kwenye ukumbi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) , Oktoba 8, 2018. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Marco Elisha Gaguti.[/caption]
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa TAKUKURU wajiridhishe huduma zinatolewa kwa wananchi bila ya rushwa, watakapobaini rushwa wachukue hatua.
Pia, Waziri Mkuu amewataka watumishi wa umma wajiepushe na vit...
Read More